karibu katika ukurasa wa BONGO FILM DATABASE tukujuze na kukufahamisha sambamba tukielimishana pia juu ya mambo kadhaa wa kadhaa katika tasnia ya sanaa hususani filamu,documentaries(makala),plays, features films na vingi vihusianavyo ndani yake....narejea na kusema karibu tena kwenye dulu hili la BONGO FILM DATABASE.
11 November 2011
SOKONI HIVI KARIBUNI
FILAMU HII YA RED & GREEN ITAINGIA SOKONI HIVI PUNDE,USIOKOSE!!
yes bado tunajipanga ili kuja kufanya vizuri zaidi, kama mnavyoelewa hivi sasa tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kuhakikisha tunalinyanyua soko la filamu ili tufike sehemu ambayo hatutakuwa na tofauti kati ya filamu za holwood na sisi wa bongo... naimani tunaweza au mnaonaje?
Wow!!!
ReplyDeletewa bongo tunapiga hatua sasa kwenye effects....na nina imani waandaaji wa hii mambo bado wanajipanga kufanya zaidi ya hapo...
ReplyDeleteyes bado tunajipanga ili kuja kufanya vizuri zaidi, kama mnavyoelewa hivi sasa tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kuhakikisha tunalinyanyua soko la filamu ili tufike sehemu ambayo hatutakuwa na tofauti kati ya filamu za holwood na sisi wa bongo... naimani tunaweza au mnaonaje?
ReplyDelete