20 July 2011

"PICHA MPYA TOKA INCISIVE MEDIA WIKI HII"

Sehemu ya timu ya Incisive Media, the only Tanzanian film,documentaries,play,feature film and other commercial post  for television and radio casting agent katika interview jumanne ya wiki hii, kulia ni Andrew Panja ,Oscar Guder(katikati) na kushoto ni Natasha moja ya waigizaji hapa tanzania kwa muda mrefu sasa  na mtangazaji wa kipinndi cha filamu zetu hapo  kwenye kituo cha redio kijulikanacho kwa  jina la uhuru fm kilichopo mtaa wa lumumba karibu kabisa na mnazi mmoja

No comments:

Post a Comment