karibu katika ukurasa wa BONGO FILM DATABASE tukujuze na kukufahamisha sambamba tukielimishana pia juu ya mambo kadhaa wa kadhaa katika tasnia ya sanaa hususani filamu,documentaries(makala),plays, features films na vingi vihusianavyo ndani yake....narejea na kusema karibu tena kwenye dulu hili la BONGO FILM DATABASE.
25 November 2011
FILAMU YA PILI YA KITANZANIA KUONESHWA HAPO CENTURY CINEMAX LEO 25/11/2011
Imetayarishwa na Haakneel Production wakishirikiana Wegos Works, ikiogozwa na Karabani, kuandikwa na Novatus Mugurusi. CPU Ni aina ya filamu ya kipelelezi.
No comments:
Post a Comment