31 January 2012

INGIZO JIPYA SOKONI WIKI HII




Wengi  wetu tunafahamu kuwa ‘’mama’’ ni ngzo katika familia Je! Unaweza ukajua ni jambo gani ambalo limemkuta au amelisababisha ‘’mama’’ katika familia, kwanini iwe the Scandle of mama?! Basi fuatiliakwa makini sana ndani ya filamu hii pekee na ya kusisimua kwa mtazamaji.

Casting
Masoud ahmed ,farida sabu and hissan muya
Production designer
Shemso Alexander
Director
Adam j mwasa
editor
Kenny rolin

No comments:

Post a Comment