08 April 2013

MIONGONI MWA PICHA ZA UTOAJI TUNZO ZA APPRECIATION ZA MAREHEMU STEVEN KANUMBA.

kushoto anaanza meya wa kinondoni na katika ni millard ayo akipokea tunzo aliyotunikiwa kama mwandishi na mtangazaji  wa redio aliyeshirikiana kwa karibu sana na familia ya marehemu steven kanumba tangu afariki nyota huyu wa filamu kwenye enzi za uhai wake. Millard alionesha bidi za hali ya juu sana pale alipoaanda makala maalumu iliyomuhusu marehumu Steven Kanumba kuanzia maisha yake kule kijijini mpaka maisha ya ustaa na mafanikio yake kisanaa hapa mjini.
 
Millard ayo na  mama yake Steven Kanumba
 Simon Mwakifamba-Rais wa TAFF akipokea tunzo kutoka kwa mama wa marehemu juu ya jukwaa.



No comments:

Post a Comment