karibu katika ukurasa wa BONGO FILM DATABASE tukujuze na kukufahamisha sambamba tukielimishana pia juu ya mambo kadhaa wa kadhaa katika tasnia ya sanaa hususani filamu,documentaries(makala),plays, features films na vingi vihusianavyo ndani yake....narejea na kusema karibu tena kwenye dulu hili la BONGO FILM DATABASE.
07 April 2013
STEVEN KANUMBA MEMORIAL DAY NI LEO
FAMILIA YA MAREHEMU STEVEN CHARLES KANUMBA KWA KUSHIRIKIANA NA BONGO FILM DATA BASE ILIYOPO CHINI YA KAMPUNI YA POINT INC IMEKAMILISHA ZOEZI LA UTENGENEZAJI TUNZO ZA APPRECIATION KWA WADAU KADHA WA KADHA LEO HII ZITAKAZOTOLEWA KESHO 7/4/2012 AMBAYO NI SIKU AMBAYO ALIFARIKI DUNIA KANUMBA NA NI MWAKA MMOJA SASA UMETIMIA TANGU AIAGE DUNIA.
APPRECIATION
AWARD
In Memory of a great Tanzanian Film Actor of his age
''STEVEN KANUMBA''
HAYO NDIYO MANENO YALIYOPO KWENYE HIZO TUNZO WADAU WENZANGU FILAMU HAPA NCHINI.
KANUMBA MEMORIAL DAY NI KESHO..
R.I.P BROTHER

No comments:
Post a Comment