Kila Hemed anapoonyeshwa filamu inakosa msisimko kwa kuwa mavazi yake na muonekano haviakisi uhalisia hata kidogo. Sio Hemed tu mfano mwingine mzuri ni Ray karibia films zake zote anaharibu filamu kwa kung'ang'ania kuvaa vipuli sehemu zisizoruhusu pambo hilo. Hivi kwanini huwa hatuwaulizi watu wanaojua fashion hata kama nguo mtu anakuja nazo mwenyewe location! tutaendelea kuonekana vituko ktk films zetu mpaka lini?. Ni kweli ktk hali halisi mwanaume anaenda ofisini akiwa amevaa vipuli au tunafanya maigizo badala ya films. Director hawezi muongoza actor kama muonekano wake hauendani na character husika so lazima actor apambwe upya au nguo zibadilishwe. Leo ukiambiwa utaje best film directors in Tz jina la Mtitu Game haliwezi kukosekana kwenye top 5 au top 3 so sielewi ni kwanini huwa anaruhusu watu wauze sura in his films badala ya kazi. Generally film iko poa from story to direction.
karibu katika ukurasa wa BONGO FILM DATABASE tukujuze na kukufahamisha sambamba tukielimishana pia juu ya mambo kadhaa wa kadhaa katika tasnia ya sanaa hususani filamu,documentaries(makala),plays, features films na vingi vihusianavyo ndani yake....narejea na kusema karibu tena kwenye dulu hili la BONGO FILM DATABASE.
11 April 2013
WASANI WA KUBWA MTAONEKANA VITUKO MPAKA LINI?
Hivi
ni kwanini tunashindwa kuwa serious na films zetu kwa kuiga uzungu
usiokuwa na maana na kuonekana vituko huko huko kwa wazungu wenyewe! now
nilikuwa naangalia film mpya inaitwa Matilda ikiwa imetengenezwa na
kuongozwa na Mtitu Game but licha ya film kuwa nzuri ila aliyeharibu
film ni Hemed kwa mavazi na muonekano wake usioendana na scenes husika.
hili nimeshalizungumzia mpaka basi lakini hatubadiliki wabongo ni
kwanini? yaani mtu anaenda ofisini tena kaajiriwa na siyo ofisi yake bt
amevaa vipuli, mbaya zaidi amevaa nguo za kwenye sherehe au tafrija eti
ndiyo mavazi ya ofisini. nywele hazieleweki kabisa.
Kila Hemed anapoonyeshwa filamu inakosa msisimko kwa kuwa mavazi yake na muonekano haviakisi uhalisia hata kidogo. Sio Hemed tu mfano mwingine mzuri ni Ray karibia films zake zote anaharibu filamu kwa kung'ang'ania kuvaa vipuli sehemu zisizoruhusu pambo hilo. Hivi kwanini huwa hatuwaulizi watu wanaojua fashion hata kama nguo mtu anakuja nazo mwenyewe location! tutaendelea kuonekana vituko ktk films zetu mpaka lini?. Ni kweli ktk hali halisi mwanaume anaenda ofisini akiwa amevaa vipuli au tunafanya maigizo badala ya films. Director hawezi muongoza actor kama muonekano wake hauendani na character husika so lazima actor apambwe upya au nguo zibadilishwe. Leo ukiambiwa utaje best film directors in Tz jina la Mtitu Game haliwezi kukosekana kwenye top 5 au top 3 so sielewi ni kwanini huwa anaruhusu watu wauze sura in his films badala ya kazi. Generally film iko poa from story to direction.
Kila Hemed anapoonyeshwa filamu inakosa msisimko kwa kuwa mavazi yake na muonekano haviakisi uhalisia hata kidogo. Sio Hemed tu mfano mwingine mzuri ni Ray karibia films zake zote anaharibu filamu kwa kung'ang'ania kuvaa vipuli sehemu zisizoruhusu pambo hilo. Hivi kwanini huwa hatuwaulizi watu wanaojua fashion hata kama nguo mtu anakuja nazo mwenyewe location! tutaendelea kuonekana vituko ktk films zetu mpaka lini?. Ni kweli ktk hali halisi mwanaume anaenda ofisini akiwa amevaa vipuli au tunafanya maigizo badala ya films. Director hawezi muongoza actor kama muonekano wake hauendani na character husika so lazima actor apambwe upya au nguo zibadilishwe. Leo ukiambiwa utaje best film directors in Tz jina la Mtitu Game haliwezi kukosekana kwenye top 5 au top 3 so sielewi ni kwanini huwa anaruhusu watu wauze sura in his films badala ya kazi. Generally film iko poa from story to direction.
No comments:
Post a Comment