25 July 2013

FILAMU MPYA ''NINI'' KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI

Moja ya filamu mpya toka kwenye kampuni ya wazawa LEO MEDIA, tena wazalendo kabisa walioona na kusikia kilio cha wasani kila kunapokucha hivyo kuamua kuanzisha kiota cha ukombozi.

          Bongo film database tunasisitiza  tuviunge mgono vya nyumbani na tuvipe thamani inayostahili. LEO MEDIA pamoja sana

No comments:

Post a Comment