02 September 2013

AY NA FA WAKAMILISHA VIDEO YA CHEZA BILA KUKUNJA GOTI


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yessaya maaurufu AY anatarajia kwenda ncihini Africa kusini kwaajili yakukamilisha video ya wimbo wake mpya wa Bila kukunja Goti aliyoimba na msanii kutoka Nigeria ,J Martin.

Mwandishi: Asteria Mkakilwa- kiini cha taarifa za filamu bongo 

No comments:

Post a Comment