karibu katika ukurasa wa BONGO FILM DATABASE tukujuze na kukufahamisha sambamba tukielimishana pia juu ya mambo kadhaa wa kadhaa katika tasnia ya sanaa hususani filamu,documentaries(makala),plays, features films na vingi vihusianavyo ndani yake....narejea na kusema karibu tena kwenye dulu hili la BONGO FILM DATABASE.
25 November 2013
BADO SIKU CHACHE TU! karibuni wadau wote
Asanteni sana wadau wetu kwa kutuunga mkono siku zote hizi tangu tuanzishe kurasa wetu huu wa Bongo Film DataBase..Tumesikiza na tuanyafanyia kazi maombi na ushauri wenu juu ya maboresho ya ukurasa huu uliyojikita katika utoaji habari na kuwaletea taarifa zilizosahihi toka ndani ya tasnia tuipendayo hii ya maigizo hapa nchini a.k.a bongo movie, swahiliwood, Tollywood, ila sisi tunaiita bongo film....baada ya muda mfupi tu tutaongeza wigo wa utoaji habari zetu kutoka blog mpaka kuwa website.. BADO SIKU CHACHE TU

No comments:
Post a Comment