KUHUSU UKURASA


Bongo film data base, ni ukurasa wa kijamii uliyoanzishwa mwaka 2010 munamo mwezi wa pili mwishoni kwenye tarehe 24 katika mazingira magumu sana ya kiutendaji tukiazia vyomo vya uendeshaji shughuli, gharama, muda na vitu vyingi vilivyo pelekea kusuasua kwa zoezi zima la uanzishwaji ukurasa huu,

Mwandishi wake alishughulikia ukurasa huu usiku na mchana mpaka kufikia mwonekano na utendaji wake kazi mzuri kama blog katika eneo moja maarufu lenye msongamano wa wafanya biashara wengi lijulikanalo kwa jina la Kariakoo ukianzia  wafanya biashara wenyewe na hata upande wa watu ambao ndiyo wateja wenyewe ndo kabisa maeneo hayapitiki katika kiurahisi ila kutokana na kiu na shauku kubwa ya mwandishi wa ukurasa huu kutaka kulitumika taifa la Tanzania katika tasnia ya habari hakuchoka wala kukata tamaa na milima wala mabonde aliyokutana nayo katika kutimiza hadhima na kusuuza nafsi yake ya muda mrefu ambayo ilikuwa imezunguka na maono ya kujitolea juu ya saula hili lote la kuhabarisha.

Ukurasa huu hukuanza kwa jina la bongo film data base bali uliitwa admired one ambao haukuwa na uwiano wowote kuanzia na mwonekano mpaka mahudhui yalioandikwa ndani yake, kubadilika kwa jina hilo kulipekwa na mawadishi wake kubadilisha fani,kutoka kwenye mambo ya biashara na kuingia kwenye mambo ya sanaa kuona upungufu fulani katika sanaa kupitia tasnia ya filamu ya kupungukiwa vyanzo vya habari za kina na za kipekee kwa muda mrefu kwa wakati huo kwa mujibu wa utafiti uliyo fanywa na mwandishi wenyewe.

Ukurasa ulijiendesha katika misingi mizuri yakiutendaji ambayo haikuihitaji msaada wa kifedha na hata mawazo kutoka kwa mtu wala taasisi yoyote ile kwani ilikuwa ni sehemu ya kujifurahisha tu

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign