TIMAMU AFRICA MEDIA WASIMAMIA WASANII KITAIFA NA KIMATAIFA
Posted by bongofilmdatabase habari, habari..., jifunze, mitandao, slide 11:28 AM
Timamu African Media, watayarishaji wa filamu ya Mdundiko,Kisate na nyingine zilizofanya na zinaendelea kufanya vizuri sokoni kwasasa. Kampuni hii inayoundwa na vijana wadogo tu wenye ndoto yakuona maisha ya sanaa ya maigizo yanakuwa yenye mafanikio hapa nchini na hata siku moja wasanii wakitanzania wanakabidhia bendera ya taifa letu kwenda kuipeperusha vilivyo kama wanamichezo wengine wanaofanya vizuri.
Timamu Casting Agency (TCA), Ndiyo kitu kipya kutoka kwenye kampuni hii ya utayarishaji filamu hapa nchini, usahili wa awali ulifanyika pale Atriums Hotel iliyopo sinza africasana, ilikuwa tarehe 21
mwezi wa sita mwaka huu, judges walikuwa ni Cloud 112, Dokii, Julieth
samson Kemy, Costantino Solo (Mkufunzi Chuo Kikuu cha mlimani).
Usahili kwa awamu nyingine utatangazwa siku si nyingi ili kuwapa nafasi zaidi wasanii wenye vipaji kuigia kwenye benki hii ya Timamu kwa lengo la kupata fursa ya vipaji vyao kunadiwa kitaifa na hata kimataifa.
Mtangazi akimwoji mmoja wasanii waliyofika kwenye usahili
kwa mawasiliano na taarifa zaidi waweza kuwasiliana na mkurugenzi mkuu Bw. Timoth Conrad kupitia kurasa wa facebook wa Timamu Africa Media
Asante
FILAMU ZA BONGO NI MAIGIZO YA MAISHA YA WAPI?
Posted by bongofilmdatabase habari, kinyemi, sokoni 12:09 PMYASEMEKANA HUU NDO MWANZO NA ILIPOANZIA VAMPIRE DIARIES
Posted by bongofilmdatabase habari, kinyemi, mpya, mtandao, slide, wasifu, workshop 1:03 PM
The Vampire diaries tamthilia yakusisimua sana iliyojizolea mashabiki kibao hapo nchini na mataifa mengi dunia inasadikika kuwa mwanzo wa hadithi yake ilianza miaka 3,000 iliyopita ingawa haikuwahikuoneshwa mwanzo ilipoanzia yaani kile kizazi cha vampire kilitokea wapi na kwa madhumuni gani kilikuwa kwenye mapigano ya kila siku.
Sasa kuna tamthilia nyingine inayoitwa The Originals ambayo nayo kwa muda mfupi tu tangu itambulishwe kwenye kituo cha television cha huko marekani cha CW imekuwa ikizolea umaarufu pia na hata kuongeza idadi kubwa sana ya watizamazi katika television hiyo na inavyosemakana tamthilia hii inaonesha ni vipi na wapi hawa vampire wametokea na ni kwa sababu gani huwa katika mapigano ya kila siku hivyo huenda ndiyo ikawa mwanzo wa hadithi hii ya The Vampire diaries.
asante!
BADO SIKU CHACHE TU! karibuni wadau wote
Posted by bongofilmdatabase habari, kinyemi, mpya, mtandao, slide 4:36 PM
Asanteni sana wadau wetu kwa kutuunga mkono siku zote hizi tangu tuanzishe kurasa wetu huu wa Bongo Film DataBase..Tumesikiza na tuanyafanyia kazi maombi na ushauri wenu juu ya maboresho ya ukurasa huu uliyojikita katika utoaji habari na kuwaletea taarifa zilizosahihi toka ndani ya tasnia tuipendayo hii ya maigizo hapa nchini a.k.a bongo movie, swahiliwood, Tollywood, ila sisi tunaiita bongo film....baada ya muda mfupi tu tutaongeza wigo wa utoaji habari zetu kutoka blog mpaka kuwa website.. BADO SIKU CHACHE TU
ARUSHA FILM FESTIVAL 2013 SCHEDULED FOR 25 NOV-1 DEC
Posted by bongofilmdatabase habari, mitandao, mitandaoni, slide, udaku, workshop 8:29 AM
MAANDALIZI ya tamasha kubwa la filamu lijulikanalo kwa jina la Arusha African Film Festival yanaendelea vizuri na kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa, tamasha hilo ambalo linategemegea kuonyesha zaidi ya filamu 70 kutoka nchi 20, litambatana na utoaji wa semina ya utengenezaji wa filamu kwa watengeneza filamu ambao watajisajili kwa ajili ya Semina hiyo ambayo ni muhimu sana kwa watayarishaji na tasnia ya filamu kwa ujumla.
Akiongea na FilamuCentral mmoja wa waratibu wa tamasha hilo Mary Birdi amesema kuwa ni tamasha ambalo linaleta mabadiliko makubwa katika tasnia ya filamu Swahiliwood, kwani watengeneza filamu kutoka sehemu mbalimbali watafika na kubadilisha mawazo na watengezaji wa filamu wa Tanzania, ni muhimu kila mdau akajipanga na kushiriki tamasha hili linalojenga.
“Ni tamasha ambalo linajenga tasnia ya filamu nchini hasa pale watu wetu wanavyopata workshop kwa ajili ya kazi wanazofanya, siku hizi teknorojia inakwenda kwa kasi ni vema kupata shortcourse mara kwa mara, lakini ni nafasi pia ya kutangaza Utalii wetu,”anasema Mary.
Tamasha la AAFF litazinduliwa tarehe 29.November.2013 Mount Meru Hotel Jijini Arusha wakati Semina itaanza rasmi tarehe 25. Novemba
November. 2013 sambamba na maonyesho ya filamu katika sehemu zifutazo Alliance Francaise, Via Via, Mount Meru Hotel, Mango Tree, na New Arusha Hotel tamasha hili kiingilio ni bure kabisa, Siku 7 USIKOSE KUSHUHUDIA FILAMU KALI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI.
Vyanzo:Swahiliworld planet na filamucentral
asante!
NAIROBI HALF LIFE INAYOMTAMBULISHA SANA KIMATAIFA MWONGOZAJI THOSH KUTOKA KENYA
Posted by bongofilmdatabase habari, kinyemi, sli 3:16 PMWAIGIZAJI (WAKIUME) KUMI WALIOLIPWA ZAIDI DUNIANI KWA MWAKA HUU 2013
Posted by bongofilmdatabase habari, kinyemi, slide 1:36 PM1. Robert Downey Jr.
$75 million
The Avengers was the third highest-grossing movie of all time and no star benefited more from that than Robert Downey Jr. Tony Stark might not have been the leader of the group (that honor belongs to Captain America) but Downey was the only indispensable actor which meant he was able to demand the most money. As long as he's willing to keep putting on the Iron Man suit, Downey will remain one of Hollywood's highest-paid actors.

2. Channing Tatum
$60 million
Tatum gets a lot of attention for his looks but this year the actor proved that he's also one of Hollywood's smartest businessmen. Tatum and director Steven Soderbergh self-financed the movieMagic Mike, based partially on Tatum's past as a male stripper. So when the $7 million film hit it big at the box office, they each took home millions. Now Tatum is growing Mike into a franchise complete with a Broadway show, a proposed bar in New Orleans and a sequel in the works.

3. Hugh Jackman
$55 million
Singing, dancing, acting, getting ripped to kick some bad guy's butt, it's all in a day's work for Jackman. The actor, who is maybe best known for playing Wolverine in the many X-Men movies, showed last year that he can also move audiences to tears. As Jean Valjean in Les Miserables he scored an Oscar nomination and helped the musical earn $438 million on a budget of $61 million. Jackman is also a budding entrepreneur. His Laughing Man coffee and tea company donates all profits to charity.

4.Mark Wahlberg
$52 million
Ted was one of the most unexpected hits of 2012. The comedy, about a teddy bear who comes to life and grows up, earned $550 million on a budget of $50 million and helped land stars Wahlberg, Mila Kunis and Seth MacFarlane on our list. Wahlberg has been as comfortable doing comedy as drama with films like The Fighter and he's been nominated for two Oscars along the way. But now he's stepping into his first blockbuster. He'll star opposite a bunch of car robots in the next installment of Transformers which hits theaters summer 2014.

5.Dwayne Johnson
$46 million
The former wrestler is now a bona fide star. For more than ten weeks in 2013, Johnson had a movie in the box office top 10. Fast & Furious 6 grossed more than $500 million in less than two weeks and G.I. Joe: Retaliation is yet another franchise that Johnson has saved. Now The Rock is moving into TV production with The Hero, a reality show where he challenges ordinary people to act like real heroes.

6.Leonardo DiCaprio
$39 million
DiCaprio's films might not be very cheery (the actor often dies in the end) but they are super profitable. The 2013 adaptation of The Great Gatsby, from director Baz Luhrmann, seemed like a tough sell. But with DiCaprio at the helm, the film easily topped $250 million at the box office making it Luhrmann's most successful movie ever. DiCaprio's biggest hit is still the 1997 film Titanic which is the second-highest grossing film of all time. And yes, he dies in the end.

7. Adam Sandler
$37 million
Maybe Sandler should do more animated films. The funnyman's live action flicks, like That's My Boy andJack and Jill, have struggled at the box office. But the animated Hotel Transylvania turned out to be Sandler's biggest hit to date grossing $347 million on an $85 million budget. Sandler makes our list this year because he can still demand top dollar for films like Grown Ups 2. The first movie, in 2010, was the second-highest grossing film of his career.

8. Tom Cruise
$35 million
The 2012 film Jack Reacher is a perfect example of why you should never underestimate Tom Cruise. The movie, about an ex-military sniper, got middling reviews and did mediocre business in the U.S. bringing in only $80 million. But overseas, Jack Reacher was a hit. The $60 million film grossed a total $217 million. With foreign box office more important than ever, Cruise is still one of Hollywood's biggest stars.

9. Denzel Washington
$33 million
Washington was nominated for his sixth Oscar this year thanks to his performance in Flight as a hero airline pilot battling addiction issues. Washington took a cut to star in the risky film in exchange for a bigger cut if the backend. The bet paid off. The movie earned $162 million on a budget of $31 million.

10. Liam Neeson
$32 million
Neeson earned more than some men who made the Celebrity 100, like Ben Affleck and Will Smith, but he didn't have their fame numbers. While he might not be in the spotlight as much as some other actors, he's quietly build one of the best careers in Hollywood thanks to low cost, high return films like Taken andThe Grey.

Chanzo cha taarifa hii: Forbes.
WATALAAMU WA MAMBO WANASEMA PICHA HUZUNGUMZA ZAIDI ILA LEO TUONE SAUTI KIUNDANI KIDOGO
Posted by bongofilmdatabase habari, mpya, slide 11:49 AMSauti:Ni kitu cha msingi sana kwenye filamu,sauti katika filamu inapokua nzuri inawafanya waangaliaji kuipenda filamu,unaweza kuwa na picha mbaya na watuwakaendelea kuangalia lakini inapotokea kuwa na sauti mbaya kila mtu hatamani kuendelea kuangalia filamu hiyo.hivyo basi sauti ni jambo la msingi zaidi ya video. Mojawapo ya chombo kinachotumika katika kuleta sauti kwenye filamu ni microphone au kipaza sauti. Kuna aina nyingi ya vipaza sauti lakini,katika filamu tunatumia aina 4 za vipaza sauti nazo ni:
1. Boom mics
2. Lavalier mics
3. Handheld mics
4. Wireless mics
Katika lecture room ya leo tunaangalia kwa undani Boom mics inavyofanya kazi katika uzalishaji wa filamu. BOOM MICS huwa inakuwa imewekwa kwenye mti wake maalum unaojulikana kama boom pole ambayo inakuwa imebebwa na mtu anaejulikana kama boom operator.
Ni vizuri katika boom lako uweke mic housing ambayo huwa na manyoya na kazi yake ni kupunguza upepo unaokuwepo location nah ii itasaidia kupata sauti iliyotulia.
katika kutumia boom kuna ujuzi unaotakiwa kuwa nao kama Boom Operator na hii inasaidia kuweza kupata sauti nzuri na inayotakiwa,hapa namanisha kuwa mtu yoyote akipewa boom anauwezo wa kulitumia lakini je?anatumia kwa usahihi?kwa kuzingatia hilo basi angalia au soma kwa makini kanuni za kuweza kutumia boom lako vizuri kama unataka kuwa boom operator mzuri.
kwanza kabisa ili uwe Boom Operator mzuri unatakiwa kuwa na stamina,kuwa na uwezo mzuri wa kusikia na kuona ili iwe rahisi kuweza kubadilisha position ya Boom lako.
MAMBO YA KUZINGATIA KAMA BOOM OPERATOR
Usiweke Boom lako pembeni ya mdomo,hakikisha Boom linakuwa direct kwenye mdomo unaoongea.
Kama kuna msanii zaidi ya mmoja hakikisha una twist boom lako kulingana na msanii anaeongea,hivyo basi kuwa mwepesi kuhamisha boom lako vizuri,kama inavyoonekana kwenye picha.
Hakikisha unafunga vizuri XLR cable yako kwa kuzungusha kwenye boom pole kwa kutumia gaffer tape au elastic hair ties kwa ajili ya kuzuia c able zisichechecheze na kusababisha kusikika kwenye sauti na vile vile huwezi kuwa confortable kama waya unacheza cheza au umetambaa chini.
Tumia windjammer kwa ajili ya kuzuia upepo unapokuwa unafanya shooting nje au eneo la wazi.
Vile vile ili uweze kuwa Boom Oerator mzuri kuna kanuni au njia nzuri za ubabaji wa Boom mic ikiwa kwenye Boom Pole.
OVERHEAD
Sifa kubwa ya kushika boom hivi inakuwa rahisi kufanya movement yoyote ile kumsogelea msanii au kurudi nyuma kwenda pembe zote yaani kushoto na kulia lakini ubabaji huu huu wa boom ni vigumu kubeba kwa muda mrefu.
BELLOW
Ni rahisi kubeba kwa muda mrefu,lakini inahitaji umakini mkubwa kwa sababu ni rahisi kusikia sauti za movement ya miguu au kitu chochote kile kinachotembea wakati wa kurecord
SHOULDER
Rahisi sana kubeba na kuhamisha na kuweka juu (overhead) lakini kwa upande mwingine ni vigumu sana kufanya movement kwa haraka,mara nyingi movement yake huwa inakuwa slower.
PELVIC
Aina hii ya ushikaji wa boom unaweza kubeba kwa muda mrefu na ni free to scratch.
PISTOL GRIP
Kwa mtindo huu wa ubebaji wa boom,ni rahisi sana kufanya movement,ni nzuri kwa tight spaces lakini kwa upande mwingine ina limited angles.
Haya ni mambo ya msingi sana ambayo kama unataka kuwa Boom operator mzuri unapaswa kuzingatia hivyo kupata sauti nzuri kkatika filamu zetu tunazoziandaa.
- Angalia frame line ya camera kabla ya kuanza ku shoot,kisha weka boom mic yako karibu na msanii bila kuingia kwenye frame.
- hakikisha boom yako inakuwa direc pointed kwa msanii
- mara zote vaa over-ear headphones
- zingatia visual cues na feedback kutoka kwenye mixer na camera person (mpiga picha)
- Achia XLR waya uwe mrefu kulingana na movement utakazokuwa unafanya lakini kuwa makini usijeukakutega na kushindwa kufanya movement.
- kwa kuwa utakuwa umesoma script hivyo itakuwa rahisi kujua ni movement gani zitakuwepo kwenye scene hiyo lakini hakikisha unakuwa na mawasiliano ya karibu na camera person ili usijekuingia kwenye frame line.
- funga vizuri cable zako ili kuzuia kusiwe na sauti kutokana na kujizungusha au cable kujigongagonga kwenye boom pole.
- hakikisha umepanua miguu yako kidogo ili uwe na balance,confortable kuweza kufanya movement zozote zile.
Nakaribisha maswali na maoni kuhusu tasnia hii ya filamu na sanaa kwa ujumla.
MAKALA HII NI KWA HISANI YA NYOTA MAGAZINE
KIKUNDI CHA MAIGIZO KAHAMA, KAHAMA HEROES ART GROUP WAJA KWA KASI
Posted by bongofilmdatabase habari, workshop 1:10 PM
Sehemu ya matukio yaliopo kwenye filamu ya kwanza ya kikundi cha maigizo kilichopo wiliyani kahama hapo mkoani shinyanga. hadithi ya filamu hii inamuhusu mama Elika ambaye anasumbuliwa na dereva wa bodaboda baada ya kujua siri inayohusu ndoa yake.
Rai ya wanakikundi wa Kahama Heroes ni udhamini ambao kiukweli utaweza kuwasaidia kufanikisha malengo yao ya kujipatia kipato na kuendeleza vipaji vyao.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mwenyekiti wa kikundi kupitia :0768 08 82 70
au waweza kutembelea ukurasa wao wa Facebook: Kahama Heroes Art Group.
au waweza kutembelea ukurasa wao wa Facebook: Kahama Heroes Art Group.
FILAMU MPYA ''NINI'' KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI
Posted by bongofilmdatabase bongo, habari, mpya, workshop 8:32 AM
Moja ya filamu mpya toka kwenye kampuni ya wazawa LEO MEDIA, tena wazalendo kabisa walioona na kusikia kilio cha wasani kila kunapokucha hivyo kuamua kuanzisha kiota cha ukombozi.
Bongo film database tunasisitiza tuviunge mgono vya nyumbani na tuvipe thamani inayostahili. LEO MEDIA pamoja sana
Bongo film database tunasisitiza tuviunge mgono vya nyumbani na tuvipe thamani inayostahili. LEO MEDIA pamoja sana
MONALISA; ETI MAMA NAE KAOLEWA!, HATA SIAMINI
Posted by bongofilmdatabase habari, mpya, slide, workshop 8:07 PM
Mmoja ya waigizaji wazuri wakongwe wenye umri wa makamu hapa nchini ambaye mara nyingi huigiza uhusika wa kama mama wa nyumbani na kwa uchache sana huigiza huigiza tofauti na uhusika wa mama yaani mlezi kwenye familia, mwite Natasha mama yake mzazi mwigizaji machachali sana Monalisa na ni bibi mwenye wajukuu wawili ambao ni watoto wa Monalisa, leo Natasha amefunga pingu ya maisha na yu ndoani kwa sasa usomavyo habari.
Bongo film database inatoa pongezi za dhati kabisa kwa wawili hawa kufunga ndoa na familia zao kwa ujumla kuongezeka na kupata utambulisho kwa pande zote mbili.
TIZAMA PICHA AMBATANISHO NA BAADHI YA SALAMU ZA PONGEZI KUTOKA KWA WAPENZI NA WADAU WAKE KUPITIA UKURASA WA MONALISA HAPO CHINI UONE NI NAMNA GANI TABASAMU ZILIVYOKUWA ZIMETAWALA NYUSO KWENYE SHUGHULI NZIMA.
ZIJUE SERIES ZILIZOTAMBA NA ZINAZOBAMBA KWA SASA UKIANZIA NA YA ARROW ( Eps 1 )
Posted by bongofilmdatabase habari, series, udaku 4:10 AMKatika nyumba tano hapa mjini kwa sasa iishiyo vijana wapendao filamu zitokazo hollywood basi nyumba mbili kama sio tatu katika ya hizo tano wanafuatilia series au ziite filamu zenye mwendelezo wa mikasa na matukio yaani tamthilia kwa lugha ya kawaida, kuna series nyingi sana zimewahi tayarishwa huko marekani mpaka sasa ila miongoni mwa series zilizopata wafuatiliaji wengi sana hapa mjini na Tanzania yote kwa ujumla wake wakiwemo na hao vijana niliyowazungumzia hapo awali ni series kama Prison Break, 24hours, Lost , Vampare Diary na nyingine nyingi tu.
Leo katika Big Screen yetu tutaizungumzia series inayokwenda kwa jina la ARROW kama top cover yake unavyo iona hapo juu. filamu hii ni moja ya filamu ninaimani ukithubutu kuianza kuitizama tu sehemu yake ya kwanza kiukweli huwezi kuacha kutafuta sehemu ya pili na nyingine zote zifuatiazo na kukaa chini kuzitizama na hata mwisho wake kuwa shabiki moja mkubwa miongoni mwa wafuatiliaji ambao hupanga foleni katika internet cafe kuzidownload kila mwisho wa wiki kwa mwajibu wa taratibu wa watayarishaji kuzitoa kila jumatano baada ya kuzionesha kwenye television zao za kibiashara huko marekani na kuziachia kwenye kurasa za mitandaoni kila alhamisi kuwapa fursa wadau wengine kuzidowload kila ijumaa.
ARROW ni filamu ambayo inamzungumzia kijana mmoja aitwae Oliver kutoka katika moja ya familia tajiri kwenye mji wa Starling aliyokuwa akiishi humo nchini marekani ambaye alinusulika kupoteza maisha kwenye ajali ya boti waliyokuwa wakisafilia aliyokuwemo na watu wengine watatu ambao ni baba yake mzazi,msaidizi wa baba yake na mwongozaji boti ile na rafiki wa kike kipenzi.
Oliver hakupata mawasiliano na familia yake aliyoicha huku mjini kwa taklibani miaka mitano kitendo kilicho wafanya ndugu, jamaa na marafiki wote kuamini wote waliyokuwemo kwenye ile boti katika safari ile walikufa maji. ila Oliver alinusulikia na kuvuka mpaka kisiwa kimoja kilichopo huko Pacific, baada miaka mitano kupita iliyokuwa imetawaliwa na mateso makali na shuluba ya kuwindana na watu waliyokuwa hawana utu kabisa akijitahidi kupigania maisha yake Oliver ana bahatika kupata upenyo na kutoloka kisiwani humo na kurejea mjini.
kijana Oliver anarudi mjini na mbinu nyingi sana alizojifunza huko kisiwani atakazozitumia kurekebisha na kusahihisha makosa yaliyofanywa na familia yake uhususani baba yake na watu wengine waliyokuwa wamefanya na kufanya vitu visivyokuwa sawa na kuukosea mji wa Starling, ila swali la kujiuliza ni kwamba atasahihishaje makosa yote hayo?! ndipo Oliver anaamua kutengeneza na kujenga uhusika mpya feki wa bwana mmoja alijulikana kama VIGILANTE kwa maana ya mtu ambaye anajichukulia maamuzi mkononi yaani anavunja sheria pale anahitaji fanya vitu vyake, Vigilante huyo alikuwa anatumia silaha ya aina ya mishale.
Leo Big Screen yetu tumeanza na utambulisho na maelezo mafupi juu ya sreies hii ya Arrow ambayo mpaka sasa ipo ungwe ya kwanza tu onesho la kumi na tisa, Big Screen(Bs) ifuatayo tutaangazia wahusika mmoja baada ya mwingine kisha kuendeleza simulizi hili tamu la Series ya ARROW
OLIVER- STEPHEN AMELL
Staa na muhusika mkuu wa series ya Arrow wambaye tutamwelezea zaidi kwenye simulizi lifuatalo ambapo tutaangazia maisha yake ya nje ya sanaa na ni kazi ngapi amewahi na kutarajia kuzifanya mpaka sasa. Tafadhali wafahamishe washikaji tusiwaache nyuma kwenye simulizi hili la kusisimua na kama utapenda kujiunga na jopo la kusimulia maonesho mengine ya ndani ya series hii na kuambatanishwa kwenye Big Screen yetu usisite kutucheck kupitia 0719 71 93 16 sasa.
WAFAHAMU WACHEZAJI WA SIRI YA MTUNGI VILIVYO LEO
Posted by bongofilmdatabase habari, mpya, slide, workshop 1:00 PMLETS HOOK UP
.

.
slide