KIKUNDI CHA MAIGIZO KAHAMA, KAHAMA HEROES ART GROUP WAJA KWA KASI
habari, workshop 1:10 PMSehemu ya matukio yaliopo kwenye filamu ya kwanza ya kikundi cha maigizo kilichopo wiliyani kahama hapo mkoani shinyanga. hadithi ya filamu hii inamuhusu mama Elika ambaye anasumbuliwa na dereva wa bodaboda baada ya kujua siri inayohusu ndoa yake.
au waweza kutembelea ukurasa wao wa Facebook: Kahama Heroes Art Group.