MONALISA, KING MAJUTO NA BARAFU NDANI YA DALADALA MOJA


Mwigizaji Yvonne Cherryl au mwite Monalisa kupitia ukurasa wake facebook amepost picha kadhaa zikimwonesha yeye na waigizaji wenzake ambao ni Mzee Majuto ambaye ni mchekeshaji maarufu sana hapa Afrika mashariki na mwigizaji mwingine anayejulikana kwa jina la Barafu. Wote watatu kwa ujumla wao wakiwa kwenye mandhari teule ya kurekodia filamu yao mpya inaitwa Daladala ambayo mpaka sasa hayijajulikana ni ya nani kwani wasanii wengi siku hizi waliyo na umri mkubwa katika sanaa hii ya maigizo kutayari filamu zao wenyewe na kushirikisha wasanii wengine.

katika moja ya picha hizi inaonekana daladala ambayo inatumika kwenye filamu hiyo daladala ambayo ndiyo kiungo kikubwa katika filamu hiyo na ni jina  filamu yenyewe.Posted by Osxarguder • The Creator • on 10:38 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MONALISA, KING MAJUTO NA BARAFU NDANI YA DALADALA MOJA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign