MONALISA; ETI MAMA NAE KAOLEWA!, HATA SIAMINI


Mmoja ya waigizaji wazuri wakongwe wenye umri wa makamu hapa nchini ambaye mara nyingi huigiza uhusika wa kama mama wa nyumbani na kwa uchache sana huigiza  huigiza  tofauti na uhusika wa mama yaani  mlezi kwenye familia, mwite Natasha mama yake mzazi mwigizaji machachali sana Monalisa na ni bibi mwenye wajukuu wawili ambao ni watoto wa Monalisa, leo Natasha amefunga pingu ya maisha na yu ndoani kwa sasa usomavyo habari.

Bongo film database inatoa pongezi za dhati kabisa kwa wawili hawa kufunga ndoa na familia zao kwa ujumla kuongezeka na kupata utambulisho kwa pande zote mbili. 

TIZAMA PICHA AMBATANISHO NA BAADHI YA SALAMU ZA PONGEZI KUTOKA KWA WAPENZI NA WADAU WAKE KUPITIA UKURASA WA MONALISA HAPO CHINI UONE NI NAMNA GANI TABASAMU ZILIVYOKUWA ZIMETAWALA NYUSO KWENYE SHUGHULI NZIMA.Posted by Osxarguder • The Creator • on 8:07 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MONALISA; ETI MAMA NAE KAOLEWA!, HATA SIAMINI

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign