YASEMEKANA HUU NDO MWANZO NA ILIPOANZIA VAMPIRE DIARIES
habari, kinyemi, mpya, mtandao, slide, wasifu, workshop 1:03 PM
The Vampire diaries tamthilia yakusisimua sana iliyojizolea mashabiki kibao hapo nchini na mataifa mengi dunia inasadikika kuwa mwanzo wa hadithi yake ilianza miaka 3,000 iliyopita ingawa haikuwahikuoneshwa mwanzo ilipoanzia yaani kile kizazi cha vampire kilitokea wapi na kwa madhumuni gani kilikuwa kwenye mapigano ya kila siku.
Sasa kuna tamthilia nyingine inayoitwa The Originals ambayo nayo kwa muda mfupi tu tangu itambulishwe kwenye kituo cha television cha huko marekani cha CW imekuwa ikizolea umaarufu pia na hata kuongeza idadi kubwa sana ya watizamazi katika television hiyo na inavyosemakana tamthilia hii inaonesha ni vipi na wapi hawa vampire wametokea na ni kwa sababu gani huwa katika mapigano ya kila siku hivyo huenda ndiyo ikawa mwanzo wa hadithi hii ya The Vampire diaries.
asante!