BONGO MOVIE WATWAA KOMBE LA TUWASAIDIE WAHANGA WA MAFURIKO DAR
udaku 1:18 AM
Compact Media kwa kushirikiana na Times Fm na kikombe chenye kauli mbiu
ya TUWASAIDIE WAHANGA WA MAFURIKO DSM walifanikiwa kuwaingiza uwanjani
wahasimu wawili Bongo Movie Fc na Kadansi Fc za Tanzania kukishindania
kikombe hicho kwa lengo moja tu la kuchangia pesa kwenye mfuko maalumu
utakao ongozea katika kuwasaidia wahanga wa mafuriko jijini dar es
salaam, mtanange huu ulifana kwa kiasi chake kwani uligubikwa na
mazingira ya kisanii zaidi pande zote mbili,mara hawa kuwamwagia maji
wengine kila mmoja alipofungwa ambapo hiyo ilikuwa ni kuashilia kuwa
wanaloa magoli na wataendelea kuloa magoli zaidi na zaidi..