CHANGAMOTO KUTOKA KWA NDUGU APILIKE KWA WATAYARISHAJI FILAMU WA HAPA NCHINI KUTOKA KWA NDUGU SASA
Posted by Bongo Film Data Base
mitandao,
mtandao
11:21 PM
CHANGAMOTO YA MDAU HUYU KWA WATAYARISHAJI FILAMU WA HAPA NCHINI IMEKAA WAZI SANA NA IPO KWA MFUMO WA SWALI AMBALO JIBU LAKE HUENDA HATA YEYE MWENYEWE ANALO ILA KUNAPO CHECHE USISHITUKE SANA WE JUA KUNA MSUGUANO HAPO HIVYO NDUGU APILIKE AKAHOJI WADAU WENGINE KAMA IFUATAVYO ILIKUTENGENEZA CHECHE HIZI KWA LENGO KUU MOJA LA KUONA KITU CHA TOFAUTI NA KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZA MWAFRIKA HUSUSANI MTANZANIA...
APILIKE GORDON; Filamu za ki-Tanzania zinapromote kwa kiasi gani muziki wetu na ngoma zetu? Tuna nyimbo zozote ambazo zimetumika kama sountrack ktk filamu zetu?
Nawaza kwa sauti...
NAKALA HARISI TOKA MTANDAO KUPITIA UWANJA WA TFCA
Filamu za ki-Tanzania zinapromote kwa kiasi gani muziki wetu na ngoma zetu? Tuna nyimbo zozote ambazo zimetumika kama sountrack ktk filamu zetu?
Nawaza kwa sauti...

Posted by Bongo Film Data Base
on 11:21 PM.
Filed under
mitandao,
mtandao
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0
It’s already been some time since I been to it.
Merely wanted to stop by way of and wish anyone,
and your own, a very joyful holiday!
Stop by my blog ; www.zuneauto.com