KOZI FUPI TOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM YA KUANDIKA MISWADA YA FILAMU HUTOLEWA MWEZI HUU
habari, mpya 6:08 PM
Idara ya sanaa na sanaa za maonesho chuo kikuu cha dar es salaam kwa kushirikiana na FPA Alumanae waanda Warsha ya Uandishi wa Miswada ya Filamu (Screenplay) itakayo anzaa tarehe 13 mpaka 15 mwezi huu wa Februari 2012
Muda ni Saa tatu (3) asubuhi hadi majira ya saa saba (7) mchana na mahali mafunzo yatakapotolewa ni pale Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonesho, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. mafunzo yamewalenga zaidi Waandishi wa miswada ya filamu, watengenezaji, waongozaji na hata wapenzi wa filamu pia wanakaribishwa.
Lugha itakayotumika kuendeshea mafunzo haya ni Kiswahili ila Kiingereza kitatumika pale inapobidi
Ada ya mafunzo haya ni shilingi elfu hamsini za kitanzania tu:(50,000) Pamoja na mengine mbali na elimu juu ya uaandishi mshiriki atapata Cheti cha Ushiriki, makala na machapisho mbalimbali juu ya uandishi wa miswada ya filamu, viburudisho...
Vitu vya ziada ambavyo tutapendezwa kukuona nacho kwenye mafunzo ni kipajaisho (laptop) kama unacho
Waendeshaji: John Mwakilama, Vicensia Shule,...
Kwa maelezo zaidi wasiliana na: John Mwakilma 0714 13 22 49, mwakilamajohn@yahoo.com