NATAKA KUIGIZA
Posted by Bongo Film Data Base
mtandao
9:15 PM
Bongo film data base inaanza kuwasha tochi na nakuwaangazia mwanga chipukizi na watu wenye ndoto za kuingia ndani ya fani ya uigizaji, uandishi wa script na mambo mengine mengi yanayohusiana na tasnia ya filamu.
kupitia kurasa ya facebook bongo film data base inakutana na Jacquline Justinian binti mwenye ndoto ya kuigiza na anajitahidi kuwafahamisha wadau juu ya ndoto yake ya kushiriki kwenye filamu.
Jacquline ameipaza sauti yake kupitia uwanja wa mmoja ya waandishi wa miswada wakubwa hapa nchini tanzania ajulikanaye kwa jina la Ali Yakuti na sauti iliyojaa shahuku kubwa ya kutimiza ndoto yake ilisikika kama ifuatavyo hapo chini..
Jacquline Justinian; Hellow! kwakeli napenda sana kaz unazotengeneza mana namimi napenda kuwa muigizaji but cjapata nafasi...big up mkaka.=> Ali Yakuti
KAMA NA WEWE UNA NDOTO YA KUSHIRIKI KWENYE SHUGHULI ZA KUANDA NA KUTAYARISHA FILAMU KAMA DADA JACQULINE JUSTINE TAFADHALI TUANDIKIE KUPITIA 0719719316 AU bongofilm@hotmail.com NA SISI TUTAZIPA MAPAWA NDOTO ZAKO ZIWEZE KUWAFIKIA WADAU WENGI ZAIDI BILA GHARAMA YEYETO ILE... karibuni.

Posted by Bongo Film Data Base
on 9:15 PM.
Filed under
mtandao
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0