AROBAINI YA STEVEN KANUMBA HII JUMAPILI HII YA TAREHE 20/05/2012
kinyemi, slide 9:24 AM
Juma pili hii kutawa na ibada maalum ya kumbukumbu ya Steven Kanumba kuadhimisha arobaini [40] ya kifo chake katika kanisa la AIC Chang'ombe kuanzia saa tatu [3] asubuhi na baadae ndugu na jamaa kujumuika pale alipokuwa akiishi marehemu maeneo ya sinza mtaa wa Vatican.karibuni nyote na waarifu wadau wengine pia.
Shukrani
Natasha kwa taarifa.
(c)Bongofilmdatabase
17/05/2012
Tupo pamoja mkuu