MJUE VILIVYO LUCY KOMBA
nyota, slide 9:19 AM
Mwadada Lucy Komba anayeishi kwenye sehemu ya ndoto zake kwa sasa, Lucy ni mwigizaji na mwandishi wa miswada ambaye amejizatiti kuwafanya mashabiki wa tasnia hii ya filamu kupata kile wanachokihitaji pale wakaapo kutizama kazi alizoanda .
Lucy alipata elimu yake ya ngazi ya msingi pale Oysterbay iliyopo jijini dar es salaam na kufanikiwa kuingia shule ya upili[secondary] shule ya Kibosho iliyopo mkoani kilimanjaro na baada ya hapo akajiunga na chuo na kusomea mambo ya information Technology IT.
Saana yake ya kuigiza alianza mara tu alipojuinga kwenye kikundi cha Fukuto Art Professional na kucheza tamthilia mbili ambazo ni ''Valentines Day'' na ''Rangi ya Chungwa'' na baada ya muda akajiunga kwenye kikundi kingine tena kilichoitwa Dar Talent na kushiriki kwenye komodi moja chini ya kikundi hicho kabla hajaenda Kaole Sanaa Group, ambapo ashirikishwa kwenye michezo mitano.
1.Radi
2.Zizimo
3.Sayari
4.Gharika
5.Tufani
Baada ya muda Lucy akaamua kusimama yeye kama yeye na kuanza kutayarisha filamu zake ambapo aliandika hadithi na miswada yake sambamba na kuigiza pia
Lucy Komba alifanikisha kutayarisha filamu zote hizo kwa kushirikana na waigizaji wengine kama
Ahmed Olotu,
Irene Uwoya,
Jacquline Wolper,
Hemed Kavu,
Om Joshi,
Cassie Kabwita,
Idris SD na waigizaji wengine wakubwa kwenye tasnia hii ya maigizo hapa nchini Tanzania
FILAMU ALIZOSHIRIKI NA KUZIFANIKISHA MPAKA ZINATOKA
All for love.......................2011 Poyaga Production Co. Ltd… Starring
Mwisho Wa Siku:….…..2011Poyaga
Productn Co. Ltd>Co-Starring Yvonne Cherryl / JacquiWolper
Familia yangu:…………2011
Poyaga Production Co. Ltd…Supporting Issa Mussa
Trinita:………………….2010
Poyaga ProductionCo. Ltd… Supporting
Not without my son………2010
Big One Entertainment…………….Starring
Fedheha:………………...2009
Poyaga Production Co. LTD…Starring
Zaidi ya Rafiki:………....2009
Poyaga Production Co. LTD ……Starring
Cleopatra(Filam
ndani ya Filam):……………2008 Poyaga Production Co. LTD...Supporting
Cleopatra( Nani
kama mama):……………….2008 Poyaga Production Co. LTD
Kipenzi changu:…….…..2008
Poyaga Production Co. LTD ……Starring
Ama zako ama zangu…..2007
Poyaga Production Co. LTD…Supporting
Vice versa:………………2007
Poyaga Production Co. LTD…Starring
Yolanda:………………Best
Movie &Best Script Writer Nominee>2006 Poyaga Productn>Supporting
Utata……………….….Best
Movie, Best Story &ScriptwriterNominee>2006 Poyaga>Supporting
Pretty teacher…………2010
Poyaga Production Co. LTD…Starring
Swadakta:……………...2009 AP Production……………………...Supporting
Damu nzito……………2009 Manhattan Production..…Starring
Vivian ………………...2008 Dennis Sweya film …………………Supporting
Denti Mapepe ………...2010 AP Production.Supporting
Jeraha la ndoa ………...2006 5 effect movies...Supporting
Precious ………………2007 Kapico Co. LTD…………………Starring
Teke la mama …………2008 Jenifa Mgendi Film ……………...Supporting
Talaka wodini: ……….2004 Mega Video………………………Starring
Division
of love:..…….Best Actress Nominee…2008 5 effect movies …Starring
TV drama Series
Radi
Zizimo
Sayari
Gharika
Tufani
TV Commercials
Polio sensitization under ministry of health---------------------2008
Polio sensitization under ministry of health---------------------2008
Born in
October 24, 1980 at Dar es Salaam Tanzania.
Interests: Cooking, Parenting,
watching TV& spending quality time with loved ones
•
Job Titles: Actor, Script writer, Director& Producer
Milestones:
•
Lucy is the Director of Poyaga Productions Company Ltd
(PPCL)
Management:
Prince Richard +233202614961 tnaghana@hotmail.com
“Copyright © 2012
Prince Richard”