MFAHAMU ALIYEACHIWA MIKOBA NA KANUMBA LEO NA KAZI YAKE YA KWANZA
kinyemi, mpya, slide, workshop 7:33 PM
hii ni filamu mpya toka kampuni ya Kanumba inayokwenda kwa jina la malaika iliyotungwa na seth kwa kushirikiana na Rose ndauka na kuongozwa na Zakayo Magullu.
Muda si mrefu itakuwa sokoni, tafadhali kaa mkao wa kuburudika.
Muda si mreMfu
Imesha ingizwa sokon au bado
ipo sokoni au bado je kama ipo ni kwa wasmbazaji gani na kama bado ita ingizwa sokoni lini?