''HANDSOME WA KIJIJI'' previews

'HANDSOME WA KIJIJI'', Kipande kingine cha simulizi toka RJ company kwa mfumo wa filamu kilichowaweka watanzania masikio wima na macho juu kumshuhudia mmoja wa miamba kwenye tasnia yetu ya sanaa kwa upande wa filamu hapa nchini bwana kaka mkubwa, VICENT KIGOSI na kwa jina maarufu kwa watu mwite ''RAY'' kuigiza katika mazingira na mwonekano tofauti na tulivyo mzoea katika filamu zake zitokazo kila mwisho wa mwezi kuamkia mwezi mpya magazetini kuandikwa FILAMU ZA MWEZI HUU ni,......,....,.HANDSOME WA KIJIJI, na kadhalika
.
Basi bwana ,leo ntaanza na KAVA na mambo machache yaliyopo ndani yahusianayo na KAVA,

1.KAVA ; Hongera sana kaka Ray kwa wazo zuri la kutumia mavazi hasili kwani imedhihilika wazi ni kiasi gani anaukumbuka na kuenzi utamaduni wa mwafrika kwa jumla kwani si tanzania tu wana mavazi kama yaha ama hakuna kabisa kabira hapa tanzania livaalo hivyo na huenda ni afrika kusini,ghana,malawi na sehemu nyingine nyingi tu ila hilo si tatizo..asante tena kwahilo kaka. Hongera nyingine za kutosha zi mwendee aliye design KAVA hili pia.. ;KIUKWELI KABISA KWAHILO ALIFAUU KWA ASILIMI KUBWA....JE? upande mwinge wa shilingi kuna chapa gani juu ya hili KAVA? 

Kaka mkubwa hapa watanzania umetuchezea kiini macho kabisa ,kutudhiilishia namna gani UMEFELI KWA DHAMIRA YAKO KWA ASILIMIA KUBWA SANA KWANI KWENYE KAVA WATANZANIA UMEWAONESHA MANDHARI ILIYO TAWALIWA NA MILA,TAMADUNI NA DESTURI ZA MWAFRIKA ILA MWANZO MPAKA MWISHO WA SIMULIZI YAKO HAPAKUWA NA MDHARI HIYO HATA MOJA TUKIANZIA HAYO MAVAZI NA HATA MAZINGIRA YAANI SI KAMA YANAYO ONEKANA KWENYE KAVA HAPA JUU. ''MTI UPOPOLEWAO MAWE NDIYO WENYE MATUNDA ILA KWANINI WA KWAKE TU? BASI UTAKUWA UNAJAMBO KAMA KILA SIKU NDO HUO TU''...... ...
(Kutoka meza ya ADMIRED ONE)

Posted by Bongo Film Data Base on 12:47 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

3 comments for ''HANDSOME WA KIJIJI'' previews

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign