"PICHA MPYA TOKA INCISIVE MEDIA WIKI HII"
2:41 AMSehemu ya timu ya Incisive Media, the only Tanzanian film,documentaries,play,feature film and other commercial post for television and radio casting agent katika interview jumanne ya wiki hii, kulia ni Andrew Panja ,Oscar Guder(katikati) na kushoto ni Natasha moja ya waigizaji hapa tanzania kwa muda mrefu sasa na mtangazaji wa kipinndi cha filamu zetu hapo kwenye kituo cha redio kijulikanacho kwa jina la uhuru fm kilichopo mtaa wa lumumba karibu kabisa na mnazi mmoja
