WINO WA MWANDISHI

MZEE MAJUTO: WASANII WOTE HUSAFIRIA NYOTA YANGU

Iko wazi kabisa si kipaji tu cha mzee majuto ndicho wasanii wenzeka katika tasnia ya maigizo hapa nchini wanakihitaji katika filamu zao...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi
WINO WA MWANDISHI

MJUE VILIVYO HASHIM KAMBI

Kama unafuatilia sanaa ya filamu nchini Tanzania, sina wasiwasi kwamba sura unayoiona hapo juu unaitambua. Unachoweza kuwa hukijui ni j...

09 Aug 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

UMUHIMU WA MWONGOZAJI PICHA (MP)/DIRECTOR OF PHOTOGRAPH(DP)

KIBONGO  TUMEKUWA TUKIONA NAMNA KAZI ZETU ZIKIFANYWA  KILA  KUNAPO KUCHA ,UNAKUTA  MTUNZI WA HADITHI , MWANDISHI MSWADA(script),DIRECTOR,EDITOR NA FINAL CUTS KAFANYA JOHN ZOTE YEYE MWENYEWE UKIACHILIA MBALI YEYE NDIYE PRODUCER PIA.....NA YOTE HII INACHANGIA SANA KUHALIBU KAZI ZETU HATA KAMA HADITHI IKIWA NZURI VIPI HAITAKUWA NA MVUTO HATA SIKU MOJA KWANI ALICHOKIFANYA KWENYE FILM YA WIKI ILIYOPITA HAKINA TOFAUTI NA ANACHOKIFANYA LEO KUTOKANA NA UTARATIBU AMBAO TUMEJIWEKEA WA KUTOA FILAMU KILA MWISHO WA MWEZI AMBAPO SASA AKILI YA JOHN BADO INAUKUNGU WA MATUKIO YA  FILAMU ILIYOPITA KICHWANI NA KICHWA HICHO HICHO KINA WAZA NI NAMNA GANI ATAIPELEKA KAZI YAKE KWA MDOSI..SASA WADAU WENZANGU HAPA WAHUSIKA  KWENYE HII TASNIA WANAKOSEA SANA TENA SANA NA YOTE HII NIKUTOJUA MAMBO YANAVYOKWENDA KITALUMA ZAIDI AMA NI ULE UBISHI WA MSWAHILI USIOKUWA  NA MSINGI WA KUSEMA  MBONA YEYE AWEZE ANA NINI NA MIE NISHINDWE NINA NINI ? NA KUTOJALI NAFASI ZA KIBIASHARA KWA HAPO BADAE ZAIDI YA MAUZO YA WIKI TATU, NA WIKI YA NNE MATANGAZO YA KAZI MPYA......

LEO KITALUMA BFDB ITAZUNGUMZIA KAZI NA UMUHIMU WA MWONGOZAJI PICHA /DIRECTOR OF PHOTOGRAPH   

A director of photography is someone who supervises the filming of movies, commercials, television series, or any other sort of filmed production. It is common to see the terms “director of photography” and “ cinematographer” used interchangeably, although this usage is not acceptable in all regions, as sometimes these jobs are actually quite distinct from each other. Essentially, the director of photography is responsible for the look and feel of a piece on film.

MAMBO YA MSINGI KWA MWONGOZAJI
Three things are necessary to become a good director of photography: training, experience, and a good eye. Many people interested in careers in  cinematograph  go to film school, where they learn about the mechanics of the work and have an opportunity to participate in internships on set to get a feel for the work. Then, they work their way up through the ranks on set, often working in a variety of positions to learn more about the business, before finally becoming directors of photography, in which case a good artistic eye becomes crucial.











MWONGOZAJI  PICHA AWAPO  KAZI NA JOPO ZIMA YA UTAYALISHAJI
On set, the director of photography or DP supervises the camera and lighting crews, and he or she will work closely with the set designers, costumers, and makeup artists. Often, the director of photography and the director both have final say over which cuts will be included in the finished piece, and the two work closely together to achieve the desired look. The director of photography will use lighting, filters, and a variety of camera techniques to shoot a scene in accordance with the wishes of the director.
A director of photography may also be involved in post-production, working with the sound and color artists to develop and reproduce the film. The DP often works closely with the editing staff as well, creating a consistent look throughout a scene, even if it was shot over the course of hours or days.
The relationship between a director of photography and a director can vary. A really talented director of photography may require minimal direction, as he or she instinctively understands what is needed. Other directors prefer more control, and they may go as far as to specify particular settings on the camera, especially with new and unfamiliar directors of photography, to ensure that the piece turns out as they envision.
Some DPs become quite famous for producing distinctive, high quality work with incredible artistic vision, and they may be offered awards or invited to join elite societies. For people interested in cinematography careers, a chance to work or train with these leading lights in the field is a great honor.

Posted by Bongo Film Data Base on 12:02 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for UMUHIMU WA MWONGOZAJI PICHA (MP)/DIRECTOR OF PHOTOGRAPH(DP)

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

HABARI MPYA INAVYOSEMEKANA WADAU
KUTA ZA FACEBOOK

WASAMBAZAJI HEWA

Wasambazaji hewa ni yupi kati huyu? A.Steps B. Proinkiini cha taarifa za filamu bongo...

19 Jun 2016 / 0 Comments / Soma zaidi

FILAMU ZA BONGO NI MAIGIZO YA MAISHA YA WAPI?

kiini cha taarifa za filamu bongo...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi

YASEMEKANA HUU NDO MWANZO NA ILIPOANZIA VAMPIRE DIARIES

The Vampire diaries tamthilia yakusisimua sana iliyojizolea mashabiki kibao hapo nchini na mataifa mengi dunia inasadikika kuwa mwanzo w...

28 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

BADO SIKU CHACHE TU! karibuni wadau wote

Asanteni sana wadau wetu kwa kutuunga mkono siku zote hizi tangu tuanzishe kurasa wetu huu wa Bongo Film DataBase..Tumesikiza na tuanyafa...

25 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
FILAMU MPYA

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

SIMULIZI

SIMULIZI SEHEMU YA PILI

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA..Bofya kiunga h...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI NA ADELA KAVISHE

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA.. Bofya kiu...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
BOLLYWOOD

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi
BONGO MOVIE

MONALISA, KING MAJUTO NA BARAFU NDANI YA DALADALA MOJA

Mwigizaji Yvonne Cherryl au mwite Monalisa kupitia ukurasa wake facebook amepost picha kadhaa zikimwonesha yeye na waigizaji wenzake...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

DUME JEURI NI MKOMBOZI NA IMEIBUA HISIA CHANYA KWA WALIOPUUZWA

Uwezo wa msanii huzihilika pale apewapo nafasi bila kutiliwa shaka nae hujisikia ni msanii muhimu kwenye kuikamilisha filamu mpaka i...

25 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
SERIES KALI

ZIJUE SERIES ZILIZOTAMBA NA ZINAZOBAMBA KWA SASA UKIANZIA NA YA ARROW ( Eps 1 )

Katika nyumba tano hapa mjini kwa sasa iishiyo vijana wapendao filamu zitokazo hollywood basi nyumba mbili kama sio tatu katika ya hizo ...

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO JIFUNZE NAMNA YA KUANDIKA NA KUANDAA SCRIPTS MUUNDO WA HADITH SEHEMU YA PILI  2. MUUNDO WA ENE...

01 Feb 2012 / 2 Comments / Soma zaidi

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign