BILA YA MAMA NA UTUNDU WANGU NISINGEKUWA RITA HUYU.

 
Rita Dominic
Kila afumbapo macho mwana mama huyu ngulu toka Nigeria daima hujiona katika ndoto zenye kiu kubwa sana ya kufanya kazi  hata na moja ya nyota wa filamu huko marekani katika dunia nyingine ya wachezaji na waandaaji filamu ijulikanayo kwa jina la  Hollywood..  
Rita a.k.a silky skin  hupenda kula vizuri na kuhudhulia mazoezini(gym) kwa muda alivyojiapangia na matunda ya ratiba hiyo imemfanya na kumweka daima mwenye umbile lenye mvuto siku zote…

Rita, Uchenna, Nkem, Dominic, Waturuocha alizaliwa tarehe moja (1) mwezi wa saba mwaka 1975 . kufikia hapo alipo sasa nikutokana na ushirikiano nzuri aliyo pewa na familia yake wakihusika zaidi wazazi,dada zake wakubwa wawili pamoja na kaka yake pia.


Mtu wa karibu zaidi kufanikisha hili kwa Rita alikuwa ni mama yake mzazi ambaye kwa sasa amekwisha tangulia mbele za haki,alikitambua kipaji chake alipokuwa mdogo sana na analicho kifanya mama huyu nikumwekea mkazo katika elimu na mahusiano mazuri katika jamii waliyo ishi, kitu ambacho kilichangia sana mpaka hapo alipofikia hapo Rita.

Rita kwenye umri wa miaka mitatu alihuzilia kwenye shule ya chekechea iliyopo kwenye moja ya miji ya hapo Nigeria na nyota yake aling’ara kuanzia hapo kutokana na kuwa na kipaji  kikubwa cha kucheza muziki na kuimba kwa namna ya kipekee.Rita alivutiwa sana na uwigizaji,kuimba,kutizama muvi,kusoma na kusafiri.
  
Rita aliendelea kufanya vizuri darasani na hatimaye kuhitimu masomo yake na kutunukiwa cheti kilicho mtambulisha katika jamii msanii mwenye stashahada ya mambo ya Theatre Art  mnamo mwaka 1999 toka chuo kikuu cha Port hapo hapo Naija.

Vitu vingine vimuhusuvyo Rita

  • Mambo yake hayaendi bila ya kuwa na Walkman ama radio ndgo ya ichezayo cd.
  • Aina ya muziki-nyimbo za kale.
  •  Style ya nywele-hupendelea kusuka mtindo wa Afro kwani hauleti maumivu usoni.
  •  Kipi apendacho toka kwa watu- hupenda watu wapole na wakweli.
  •  Kipi kimvutiacho kwa mwanaume-huvutiwa na mwanaume poa,mtasha na mwenye asilimia zote(100%) timamu kwenye uvaaji.

HIZI NDIZO FILAMU(MUVI) ALIZOCHEZA
ALL MY LIFE 2004
GOODBYE NEW YORK 2004
INDECENT ACT 2004
NIGHTS OF RIOT 2004
PASSION OF MIND 2004
SINGLES AND HARRIED 2004
THRONING STONES 2004
A NIGTH TO REMEMBER 2003
ACCIDENTAL DISCHARGE 2003
ANOTHER SIDE OF LOVE 2003
BACK FROM AMERICA 2003
BLIND LOVE 2003
EREAK UP 2003
CONTROVERSY 2003
HERO OF LOVE 2003
HONEY MOON 2003 PLAYER 2003
STOLEN HEART 2003
STREET LIFE 2003
TO LOVE A THIEF 2003
UNFORGETTABLE 2003
FATE OF LIAR 1999
HOSTILE HOSTAGE 2003
LEAN ON ME 2003
LOST PARADISE 2003
LOVE TEMPLE 2003
LOVE U FOREVER 2003
PAINT MY LOVE 2003
WHO KILLED MY HUSBAND 1999
ABA RIOTS 1990
BLACK SHEEP 1995
CHILDREN OF TERROR 1995
CORNER TONE 1995
TIME TO KILL 1990
FUGITIVES 1999
MY HEART DESIRE 1999
ORIGINAL SIN 1999
PLAY BOY 1999
PRISONER OF LOVE 1999
SILENT TEARS 1999
SOUL MATES 1999
THE SOUL THAT SINNET 1999
WHO KILLED MY HUSBAND 1999

Posted by Bongo Film Data Base on 6:23 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for BILA YA MAMA NA UTUNDU WANGU NISINGEKUWA RITA HUYU.

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign