MAJID MWIIGIZAJI TOKA GHANA AFANANE NA MZEE WA KAMBI POPOTE (ANTONIO NUGAZ) ATISHIWA MAISHA NOLLYWOOD
8:14 PM
Majid michael, mwigizaji na mwongozaji wa filamu  mzaliwa  mwa humo nchini Ghana anaye kwenda kutimiza miaka 29 mwezi ujao tarehe  22.
Mwigizaji huyu kutokana na uchezaji wake wa filamu kuwa katika  kiwango kikubwa sana kiasi cha kujivunia kile anachokifanya na  kukiheshimu pia. mwaka jana alitia fola kwa kupotezea kwenda kufanya  kazi nchini Nigeria kwasababu watayarishiji wa Nollywood wengi wao  hawana taaluma na kazi ya utayarishaji filamu kitu mbacho kiliwakela  sana nyota wa hapo Nollywood na wengine kifika wamuzi wa kumvutia waya  (simu) na kumtumia ujumbe mfupi wa maneno kwa njia ya simu kutishia maisha  kabisa, ujumbe ulisomeka kama ifuatavyo ''
you think you can  come here and take away our livelihood?, and  “Watch  your back, your days  are numbered”.  na moja kwa moja Majid  alikwenda kwa mtu wake wakaribu mkewe kumweleza juu ya suala hilo, mkewe akamsisitizia  abaki Ghana hapo hapo kwani bado anampenda na tena familia inamwitaji  kwa sana..
Majid alifanikiwa funga ndoa miaka minne iliyo pita na sasa na kubarikiwa kupata watoto wa wili wa kike wanaowapenda Keira mwenye miaka mitatu na Zara wa mwisho.
V/S
MTEMBEZIIIIIIIIIIIIII
 Antonio nugaz  kijana aliye  na haiba nzurii tena yakuvutia mwenye asili ya pwani toka mji wa uliyosheheni mahaba Tanga kwa jina maarufu la mija wa waja leo waondoka leo japo amesoma Azania high school na sasa anaishi dar es salaam na  ni mtangazaji wa televisheni machachali wa kipindi kinachoelekea kutimiza mwaka mmoja sasa tangu kimeanzishwa na kuwa na mafanikio mazuri kwani kimeonekana kutolegalega tangu kimeanza cha kambi popote kinachorushwa katika kituo kijulikanavyo kwa jina la Clouds Television.
Watu mashuhuli na maarufu katika nyaja tofauti tofauti anaowapenda na vutiwa nao pia ni;.
- rais wa tanzania,mh.Jakya Kikwete,
 - Rais wa marekani, Baraka Obama,
 - Denzel Washington(mwigizaji toka hollywood)
 
| WATALAMU WA MAMBO WANASEMA HAWA NI MAPACHA WA NJE. | 







