MAONO YA HASSAN MASSANGYA JUU FILAMU ZA BONGO KUPITIA CINEMA HOUSE
mtandao 9:46 PM
Hassan Massangya ;
baada ya Hassan Massangya kuandika hilo wadau wengine hakuachia madaa ining'inie hewani tu hivyo wakawa na haya ya kuchangia pia...
- Shah Native inahitaji uzalendo kutazama bongo movie hata dkd 20 tu za mwanzo.
ndo filamu zetu lakini, tutafanyaje na wadau wamezipitishaOctober 21, 2011 at 11:35pm via mobile -
Hassan Massangya ; hv unajua hata wawekezaji kutoka nje hakuna kwa sababu hyohyo kaka... embu chek thailand waliovyojitangaza kwa sabab wana vtu vpwa,... inabidi tutafuta k2 ambacho ktatutambulsha sisi kama ndo utambulisho wa filam za kbongo... yaan nadhan umenpata nnachomaanisha.October 21, 2011 at 11:42pm ·
1
Alex Ngaweje; ni kweli lakini kuna filamu moja ya kanumba amemshirikisha ransey noah wa nigeria inaitwa DEVIL kINGDOM angalau wamejitaidi hakuna ujumbe wa mapenzi yamejadiliwa maswali muhimu kuhusu dini, mungu mambo ya imani, ukiangalia unaweze usiende kanisani au msikitini tena angalau wamejitaidi inawezekana wamefuatisha DA VINCI CODE ya tom hanks
October 25, 2011 at 11:55amShah Native; Hiyo Filamu mpya ya Kanumba nimeitazama. its too philisophical, na wamejitahidi kiasi. Tatizo ni kwamba, hiyo filamu dialogue ni nyingi sana utafikiri mchezo wa radio. Yani unachek onesho moja ambalo limejaa mazungumzo zaidi ya dakika 25. Ni bora wangeandika Kitabu!
Pili, filamu na Idea yake imefosiwa sana. Visa vingi na matukio yasiyo na Uhalisia. though, concept ni nzuri na nimependa upigaji picha kidogo.
Tnarudi Palepale bila shule itakua hivyo hivyo, pale nimepanda na hapa dialogue nyingi. Kama mtu ataandika filamu yake kitaalamu hayo mnayoyakosoa hayataonekana. Wacheni kupiga kelele ingieni mashuleni mtayagundua makosa yako wapi na filamu bora zitapayikana. hakuna cha uzalendo wala nini Tanzania tunatia aibu...
This comment has been removed by the author.
shule zinazofundisha utayarishaji filamu kwenye viwango vya kimataifa hapa nchini kwani zipo wapi?
Mimi naona afadhali ujue kwanza filamu bora hutokana na nini. Kila mtu anasema anafundisha filamu lakini utakuta anachofundisha ni maigizo badala ya uandaaji wa filamu huyo sio mwalimu wa filamu ni muigizaji...
Ukikuta wanasomesha uandaaji wa filamu kuanzia Uandishi mpaka filamu kukamilika hao ni wakweli.
lakini shule nyungi za filamu Tanzania hazifundishi hivyo.