ROSE NDAUKA NA LOVE ME OR LOVE ME NOT
habari, kinyemi, workshop 8:53 AM
KADRI SIKU ZINAVYOZIDI KWENDA WATAYARISHA WAKIKE WANAZIDI KUONGEZEKA KWA KASI YA HALI YA JUU ZAIDI NA KUTENGENEZA KAZI NZURI TENA ZENYE MVUTO WA KUTOSHA KABISA MFANO WA WATAYARISHAJI WAKIKE NI KAMA
JACKLINE WOLPER,
IREN UWOYA,
LUCY KOMBA,
WEMA,
AUNT EZEKIEL
NA WENGINE WENGI...
ILA LEO TUNAKUTANA NA ROSE NDAUKA KWENYE SAFU HII AKIWA NAYE NI MIONGONI MWA WATARISHAJI FILAMU WA KIKE HAPA NCHINI TANZANIA WANAO JITAHIDI KUFANYA KILE WANAWEZA FANYA KUTONA NA KIPAJI CHAKE...HIVI KARIBUNI ATAINGIZA KAZI YAKE MPYA MTAANI ILIYOSHEHENI VIJANA WAPYA KWENYE TASNIA WAKIWA WAMETANUA MBAWA ZAO KUWAONESHA WATANZANIA WALICHONACHO KUPITIA FILAMU HII YA LOVE ME OR LOVE ME NOT ITAKAYO INGIA SOKONI MWEZI UJAO KWENYE TAREHE NNE [4] MWAKA HUU.
ROSE NDAUKA[Mwigizaji bora wa kike-ziff]
Asanteni
(c)Bongofilmdatabase