FORGIVE ME SON
habari, slide 7:49 PMKiusema ukweli tasnia ya leo ni tofauti sana na ile ya jana kwani kila mdau kwa sasa anakiu ya kuionesha jamii inayomzunguka yakuwa anaweza fanya jambo zuri zaidi ya mwenzake kitu ambacho kina changia sana kuwaji wa tasnia hii hapa nchini...
Star Cast
Steven Sandhu
Rose Ndauka
Charles Magari
Nana Juned