BARCODE KUTAMBULISHWA KWENYE KAZI ZA SAANA SASA
mpya, slide, udaku 8:26 PM
Jukwaa la sanaa la basata jumatatu hii ya tarehe 21/05/2012 saa kuanzia saa 4:00 mpaka 6:00 mchana kama kawaida litakuja na mkakati kabambe wa namna ya kudhibiti wizi wa kazi za sanaa kwa kutumia mfumo wa ''Barcode'' chini ya kampuni ya kampuni ya Global Standard 1...mkakati huu ni malidhawa katika kudhibiti uharamia katika tasnia ya sanaa.. basi njoo ujumuike na uelimike samabamba na kuchangia katika mkakati huu wa kuikomboa sanaa yetu...Usikose kwa ni muhimu sana.
Asante!
(c)Bongofilmdatabase