MZEE SMALL YU HOI HOSPITALI YA AMANA
slide, udaku, workshop 9:27 PM
Taarifa zilizotufikia juu ya dawati letu zinasema mwigizaji nguli na waanzilishi wa sanaa za maigizo nchini tanzania Mzee Small ni mgonjwa sana na amelazwa hopitali ya Amana iliyopo Ilala kwa kile nachosemekana ni shinikizo la damu lililompelekea kushindwa hata kuongeo kabisa. na hali yake ya kiafya hii tete sana hivyo twaombwa tendeni tukamfariji mzee huyu...
Asante!
Chanzo;Natasha
(c)Bongo film database
Asante!
Chanzo;Natasha
(c)Bongo film database