STEVE NYERERE ATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA NA KUZINDUA FILAMU YAKE KINONDONI
habari, mpya, slide 3:35 PM
Steven Mengele 'Steve Nyerere' (kushoto) akimkabidhi chandarua mtoto
Ally Hussein wakati alipokwenda kutoa misaada mbalimbali na kufanya
utambulisho wa filamu yake mpya ya Nyerere jana.
Steve akikabidhi maharage kwa mama mlezi wa kituo cha Maunga
kilichopo Kinondoni Dar es Salaam, Bi. Zainabu Bakari alipokwenda kutoa
misaada ya vyakula na vitu mbalimbali.
Mkurugenzi wa DJ Marketing and Promotion, Daniel Haule akibandika bango la filamu mpya ya Nyerere iliyozinduliwa jana.
Chanzo; Global Publisher