BEST LOOSERS KUJA NA J.SISTERS HIVI PUNDE

Yapata siku saba tu mpaka sasa tangu kampuni ya Selles Business Inc ingize filamu yake sokoni iliyochezwa na mwanadada Wema Sepetu na kijana Peter Msechu inayopatikana madukani na mitaani kwa jina la CRAZY TENANT na kiukweli infanya vizuri sana sokoni kwa sasa. leo tunapokea taarifa kutoka kampuni ile ile ya Selles Business Inc kupitia chanzo chenye  uhakika kabisa juu ya habari hizi kutoka ndani ya kampuni hiyo yakuwa wapo mbioni kuachia kazi nyingine tena inayokwenda kwa jina la BEST LOOSERS kama unavyoiona poster yake hapo juu na hata sehemu mbalimbali umewahi tupia jicho pia.

 Mtayarishaji wa filamu hii ya BEST LOOSER amewashirikisha wahusika wakuu ambao ni  Aunt Ezekel na Simon Mwapangata, washiriki wengine waliyo shirikishwa ndani ya filamu hii ni Juliet,Judith,Jesse na Josephine ama kwa jina la maarufu kama J. sister kwenye picha hapo chini

J.SISTER

 Bongo film database haikuishia hapo tu katika mazungumuzo hao na chanzo cha taarifa hii njema kwa wapenzi wa filamu na nyimbo za injili kutoka kwa wadada hawa wanaotoka kwenye familia moja tukachukuwa uwamuzi wa kumpingia simu mtayarishaji wa filamu toka kampuni ya Selles Business Inc,tukamuhoji mambo kadhaa pamoja na kupata uhakika zaidi. soma mahojiano yetu na Bw.Selles Mapunda hapa chini

BFDB; Ndugu mtayarishaji huu ni utaribu mpya ambayo kampuni yenu mejiwekea kwa sasa wakushirikisha wasani mahiri na watu wachanga katika tasnia hii ya filamu tena ni wale hawakuwepo kabisa katika fani hii kama tulivyo ona kwenye filamu yenu iliyotoka wiki moja iliyopita ambayo ndani yake imechezwa na Peter Msechu?!,

Mtayarishaji; ndiyo kabisa wala hujakosea,kwa sasa tuna mkakati wa namna hii wa kutayarisha filamu na kuwashirikisha wasanii waliotoka /wakubwa tayari na watu wapya au kwa jina jingine huitwa chipukizi nao kuonesha vipaji na umahili wao.


SYNOPSIS:
The dream of every girl in Dar es Salaam is to relocate to Europe and live a responsible life. Janet (Aunty Ezekiel), Juliet, Judith, Jesse & Josephine (popularly known as J. sisters) the city natives wasted their years as complete failures. But suddenly they discovered a gold mine “stolen money being stolen” EPA. Contrary to their expectation met with the untold times from Jackson (Rado) the C.S.O of late Hon. Mapunda (MP) in their quest to become billionaires Jackson will not have them destroy his dream……………………………….! What will be their fate? Find out from this mind blowing make-believe story.


Star Cast;
Aunty Ezekiel,
Simon Mwapangata,
Juliet,
Judith,
Jesse
Josephine

Mtayarishaji;
Selles Mapunda

Kampuni
Selles Business Inc






Posted by bongofilmdatabase on 1:52 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for BEST LOOSERS KUJA NA J.SISTERS HIVI PUNDE

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign