DAMU YA MJOMBA YA SHIRIKISHA MASTAA TISA
habari, kinyemi, slide, workshop 7:31 AM
Moja kati ya filamu chache hapa nchini zilizotengenezwa katika mazungira na ngazi ya kifamilia ambapo unakuta aidha mtunzi au wahusika nini baba,mama au ni watoto kwenye filamu ambayo imetayarishwa na mtoto. Damu ya Mjomba imekamilika nchini ya utunzi wa baba na kutayarishwa na mtoto wa mtunzi hadithi hii ambao ni Mzee Issa Semtawa kama mtunzi na Nusrat Semtawa kama matayarishaji.
Filamu ya Damu ya Mjomba ni nzuri kwani ina sisimua itizamapo kutokana na tungo kuandaliwa katika mazingira haya haya ya mtanzania na kuchezwa katika maadili mema kabisa filamu hii inazungumzia maisha ya watu wa kawaida tu.
SNOPYSIS
Hadithti inamuhusu binti mmoja aliyeolewa na hakufanikiwa mtoto hivyo kuchukuwa maamuzi ya kwenda kwa mganga wa kienyeji na kama kawaida mganga kumtaka binti huyo apeleke vitu vyenye utata ambayo ni damu ya mjomba wake ili apate mtoto. Je? hiyo damu aliipata? na kwenye mazingira wapi? basi itizame filamu hii mambo yote haya.
Mtunzi;
Issa Seemtawa
Mtayarishaji;
Nusrat Semtawa
Mwongojazi
Hashim Kambi
Mpiga Picha
Said Abdallah
Star Cast
Checkibudi,
Sabrina Omari,
Hashim Kambi,
Hidaya Njaidi,
Mzee Magari,
Susan Lewis [Natasha],
Grace Mapunda
Nusrat Semtawa
Bi Hindu
Msambazaji
Steps