CRIME INVESTIGATION DEPARTMENT IPO TAYARI

Crime Investigation Department CID  filamu ya mapigano inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni na ni moja ya filamu chache sana hapa nchini zinazoonosha mambo ya kipelelezi ambazo zimewahi kutengenezwa na kuingia katika orodha ya filamu za mapigano ambazo zimewahi kutayarishwa hapa nchi Tanzania kwenye hii miaka ya karibuni.

Bongo film Database imekutana na watayarishaji filamu hii siku chache tu mara baada ya matayarisho yake kukamilika na kuwa na machache sana ya kuzungumzia juu ya kazi hii na kuwaeleza wapenzi wa kazi za Tino na tasnia hii kwa ujumla wakae tu mkao wa kuburudika na kazi hii  kwani filamu imetayarishwa katika mazingira magumu sana ila ugumu wa mazingira hayo yalitokana na wao kudhamilia kutengeneza kitu chenye utofauti sana na kazi nyingine zilizopo mtaani na hata kwenye maktaba yao hapo Timamu Effects.


STAR CAST
Hissan Muya
Kibabu Idd Mkomu
Khalfan Ahmad
Elizabeth Chijumba
Nikita

STORY
Hissan Muya

SCRIPT 
Flex John

DIRECTOR
Jackson Kabirigi

DIRECTOR OF PHOTOGRAPH
Nicholaus Mtawa

EDITOR
Timoth Conrad

MAKEUP
Vanita

HIZI HAPA CHINI NI PICHA ZA SEHEMU YA WASANII  KWENYE UTAYARISHJI FILAMU YA CID

TINO AKIWA NA DIRECTOR AKIPATIWA MAELEKEZO NI NINI CHA KUFANYA KWENYE TUKIO[SCENE] INAYOFUATA

 
ACTRESS AKIWAFANYIWA MAKEUP TAYARI KUCHEZA SCENE YAKE
 MPIGA PICHA NA JOPPO LA LIGHTS WAKIFANYA MAMBO
K
DIRECTOR AKIWAELEKEZA JAMBO WAIGIZAJI
K
DIRECTOR AKIWAELEKEZA JAMBO WAIGIZAJI 
MMOJA YA WAIGIZAJI WALISHIRIKISHWA KWENYE FILAMU HII
MMOJA YA WAIGIZAJI WA MKUU
l
Conrad akipiga picha(Cameraman)
Nikita kwenye moja ya scene
Nikita akielekezwa na director
Nikita tayari kuingia mzigoni 
Action---cut
Vanita na Director wakitayarisha mazingira 
Jackson kabirigi akimwelekeza
Mwigizaji akifanyiwa makeup
Camera man mzigoni

(c)Bongo Film Database
 Timamu Effects
Asante!

Posted by bongofilmdatabase on 3:04 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for CRIME INVESTIGATION DEPARTMENT IPO TAYARI

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign