UZOEFU WA NIKITA UTAIBEBA CRIME INVESTIGATION DEPARTMENT?
habari, slide 11:17 PM
NIKITA[Mwigizaji]
Crime Investigation Department CID filamu ya mapigano inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni na ni moja ya filamu chache sana hapa nchini zinazoonosha mambo ya kipelelezi ambazo zimewahi kutengenezwa na kuingia katika orodha ya filamu za mapigano ambazo zimewahi kutayarishwa hapa nchi Tanzania kwenye hii miaka ya karibuni.
Bongo film Database imekutana na watayarishaji filamu hii siku chache tu mara baada ya matayarisho yake kukamilika na kuwa na machache sana ya kuzungumzia juu ya kazi hii na kuwaeleza wapenzi wa kazi za Tino na tasnia hii kwa ujumla wakae tu mkao wa kuburudika na kazi hii kwani filamu imetayarishwa katika mazingira magumu sana ila ugumu wa mazingira hayo yalitokana na wao kudhamilia kutengeneza kitu chenye utofauti sana na kazi nyingine zilizopo mtaani na hata kwenye maktaba yao hapo Timamu Effects.
STAR CAST
Hissan Muya
Kibabu Idd Mkomu
Khalfan Ahmad
Elizabeth Chijumba
Nikita
STORY
Hissan Muya
SCRIPT
Flex John
DIRECTOR
Jackson Kabirigi
DIRECTOR OF PHOTOGRAPH
Nicholaus Mtawa
EDITOR
Timoth Conrad
MAKEUP
Vanita
HIZI HAPA CHINI NI PICHA ZA SEHEMU YA WASANII KWENYE UTAYARISHJI FILAMU YA CID