NANI KUMFUNIKA MWENZIE KWENYE THE RETURN?


Tasnia ya maigizo nchini inazidi kukuwa kila kunako kucha kama tunavyo ona kwasasa kutokana na utanukaji wa  hili soko sehemu mbali mbali zinazotuzunguka kama Rwanda,Burundi,na Congo kitu ambacho kinawapa presha wasambazi kuhofia kuto weza kulilisha soko la filamu vilovyo na watayarishaji nao usiku na mchana wanakimbizana na wasanii wakitayarisha kazi mpya kujaribu kuijaza kabatia za wasambazaji kuenda na kasi za ukuwaji wa soko la filamu..


 

THE RETURN

The Return filamu mpya toka Selles Business Inc iliyokamilishwa siku chache zilizopita toka sasa na inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

SYNOPISIS
The dream of Sintah (J-Lo) and Monalisa (Yvonne) was to get educated, acquire their masters’ degrees Level and get a responsible future life. J-Lo, YVONNE, ABBY GAL & JESSICA the Campus show-offs wasted their years as complete failures at the University of Dar Es salaam. But suddenly they discovered a gold mine “sleeping around with rich people and clubbing life supported with HANDSOME GUYS and some big businessmen Contrary to their expectation met with the untold times from their luxury life they lived! What will be their fate? Find out from this mind blowing true life story from Selles Mapunda.

 STAR CAST:
Monalisa,
Sintah,
Lisa jehsen,
Ben kinyaiya,
baby madaha.

STORY
selles Mapunda

DIRECTOR
selles Mapunda.

Posted by bongofilmdatabase on 7:08 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for NANI KUMFUNIKA MWENZIE KWENYE THE RETURN?

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign