PICHA NNE ZA UTAYARISHAJI KIPINDI CHA FACE2FACE HIZI HAPA
habari, slide, workshop 9:51 PM
Bond Bin Sinnan na mtayarishaji/mwongozaji wa kipindi cha Face2face kirukacho katika kituo cha C2C kihusianacho na tasnia ya filamu ambacho kimejikita zaidi kuiangazia tasnia hii kiundani ambapo ewe mdau unapaswa kufahamu kutoka kwenye haya mazingira yetu ya kitanzania ya utayarishaji filamu kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake....tafadhali ungana nami hapo C2C kwenye nyumba ya Burudani tukudadavulie tasnia hii vilivyo.
Mtangazaji wa kipindi cha C2C, mwadada Diva na Bond Bin
Mpiga picha naye akaja kwenye kadi yangu ya kuhifadhia picha