FACE2FACE KUIGEZA JUU CHINI TASNIA YA FILAMU BONGO
mtandao, slide 11:00 AMFACE2FACE MOJA YA VIPINDI KINACHORUKA KWENYE KITUO CHA TELEVISHENI CHA C2C KINACHOZUNGUMZIA NA KUIBAMBANUA TASNIA YA FILAMU HAPA NCHINI TANZANIA CHINI YA UTAYARISHAJI GUDER NA MWANDISHI WA UKURASA WA BONGO FILM DATABASE KWA TAKLIBANI MIAKA KADHAA MPAKA SASA .
Bond Bin Sinnan na mtayarishaji/mwongozaji wa kipindi
cha Face2face kirukacho katika kituo cha C2C kihusianacho na tasnia ya
filamu ambacho kimejikita zaidi kuiangazia tasnia hii kiundani ambapo
ewe mdau unapaswa kufahamu kutoka kwenye haya mazingira yetu ya
kitanzania ya utayarishaji filamu kuanzia mwanzo mpaka mwisho
wake....tafadhali ungana nami hapo C2C kwenye nyumba ya Burudani
tukudadavulie tasnia hii vilivyo.
Mtangazaji wa kipindi cha C2C, mwadada Diva na Bond Bin
Mpiga picha naye akaja kwenye kadi yangu ya kuhifadhia picha