HOUSE MAID KUSHIRIKISHA MASTAA KIBAO
habari, slide, udaku 1:51 AM
Miongoni mwa makasha ya filamu yaliotengenezwa ndani ya mwezi huu wa sita ni hili hapa, linavutia sana..filamu hii ya House maid imewashirikisha mastaa wafanyao vizuri kwenye tasnia hii ya maiigizo hapa nchini kwa sasa.
Star Cast
Grace Mapunda,
Jenifer Kyaka[odama]
Hemed Suleiman
Rose ndauka