STADI ZA UANDISHI SCRIPT NA JAMES GAYO
slide, udaku, workshop 2:48 PMKama kawaida ya jukwaa la sanaa lifanyikalo pale ukumbi wa balaza la sanaa taifa BASATA kila juma tatu kuanzia kwenye majira ya saa nne mpaka nyakati za mchana. jumatatu hii ambayo ni kesho ya tarehe 18/06/2012 litamleta Bw. James Gayo kuzungumzia stadi za uandushi wa miswada ya sinema[script writing skill] kit ambacho ni ndiyo nguzo kuu ya katika kuzifanya filamu zetu kuwa za kitaalamu na zenye kuvutia..
Darasa hili ni mahususi kuhusu sanaa ya filamu katika eneo la script litakalo na Bw.James Gayo.