SUPER STAR YA WEMA KUPAMBWA NA SUPER STAR TOKA NAIJA
kinyemi, slide 11:44 AM
HUYU NDIO OMOTOLA JALADE ANAYEINGIA TANZANIA IJUMAA KWA AJILI YA UZINDUZI WA FILAMU MPYA YA WEMA ABRAHAM SEPETU SIKU YA JUMAMOSI NDANI YA KILIMANJARO HOTEL KATIKA ILE PARTY YA MWALIKO MAALUM. LAKINI JUMAPILI TUKUTANE WOTE GIRAFFE VIEW HOTEL AMBAPO KUTAKUWA MEET AND GREET WITH OMOTOLA JALADE NA WEMA SEPETU.