DADA AUNT HUYOO ANAOLEWAA! NA MAHALI.........
mitandao, mitandaoni, mpya, slide 1:07 PM
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Aunt Ezekiel anatarajia kufunga ndoa mwezi wa 11 mwaka huu.
Muigizaji huyo ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa balozi wa Zuku Swahili Movies tayari ameshavalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake aitwaye Sunday.
Kutokana na hatua hiyo sasa muigizaji huyo amebadilisha dini na kuwa muislam na atakuwa akijulikana kama Rahma.
Posted by bongofilmdatabase
on 1:07 PM.
Filed under
mitandao,
mitandaoni,
mpya,
slide
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0