FILAMU MPYA YA Denzel Washington KUFUNGA TAMASHA LA FILAMU MJINI NEW YORK
habari, mitandaoni, mpya, mtandao, slide, workshop 12:34 AM
Kutoka nchini marekani Bongo film database imepashwa habari ya kuwa filamu mpya ya Denzel Washington iitwayo FLIGHT ndiyo itakayo hitimisha tamasha la filamu nchini humo kwenye moja ya mjii maarufu sana kwa jina hao huliita New York. Tamasha litakalo anza tarehe 28 mwezi tisa mpaka tarehe 14 mwezi wa kumi mwaka huu.
Filamu hii ya FLIGHT imeongozwa na Robert Zemeckis ambayo ndani yake Denzel ameigiza uhusika wa lubani wa ndege ambaye anapigana kufa na kupona kuinusulu ndege ya abiria walifikia taklibani 98 kupatwa na ajali mbaya
Tizama kionjo cha filamu hii hapo chini