Ubunifu wetu

Ubunifu Wetu,muunganikano wa vinjana kadhaa wenye uuwezo binafsi katika utunzi wa hadithi na uandishi wa skript  kwa  kitambo kirefu sasa Kwa historia fupi kabisa, mnamo mwaka 2010 mwishoni vijana hawa walianza kuanza kazi hii rasmi mara tu baada ya kukutana na wimbi kubwa sana la uhitaji wa vitu vya kibunifu zaidi katika tasnia ya saanaa hapa tanzania.vijana hawa walipotezana kwa takribani miaka mitano bila ya ufahamu wa kila mmoja alikuwa pande ipi ya Tanzania mpaka pale waliweza kukutana tena kwa mara nyingine kupitia moja ya mitandao ya kijamii kwa jina maarufu  facebook.na ndipo safari ya UBUNIFU WETU ilipo anzia tena mpaka leo hii vijana hawa wanakutana na ndoto kubwa na nzito sana ambazo ni  ngumu kutimilizika kwa mazingira ya kawaida hivyo  uhitajika umakini wa hali ya juu na upeo wa zaidi ya maana ya kwamba UBUNIFU uchukuwe mkondo wake..ubunifu kwao si kitu ambacho cha kwenda kutafuta porini kwa upande wao, uwezo huu wa kipekee ndio kinacho wapa hali ya  hamasa vijana wa UBUNIFU ......

Posted by Bongo Film Data Base on 5:23 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

3 comments for Ubunifu wetu

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign