Ubunifu wetu
5:23 AM
Ubunifu Wetu,muunganikano wa vinjana kadhaa wenye uuwezo binafsi katika utunzi wa hadithi na uandishi wa skript kwa kitambo kirefu sasa Kwa historia fupi kabisa, mnamo mwaka 2010 mwishoni vijana hawa walianza kuanza kazi hii rasmi mara tu baada ya kukutana na wimbi kubwa sana la uhitaji wa vitu vya kibunifu zaidi katika tasnia ya saanaa hapa tanzania.vijana hawa walipotezana kwa takribani miaka mitano bila ya ufahamu wa kila mmoja alikuwa pande ipi ya Tanzania mpaka pale waliweza kukutana tena kwa mara nyingine kupitia moja ya mitandao ya kijamii kwa jina maarufu facebook.na ndipo safari ya UBUNIFU WETU ilipo anzia tena mpaka leo hii vijana hawa wanakutana na ndoto kubwa na nzito sana ambazo ni ngumu kutimilizika kwa mazingira ya kawaida hivyo uhitajika umakini wa hali ya juu na upeo wa zaidi ya maana ya kwamba UBUNIFU uchukuwe mkondo wake..ubunifu kwao si kitu ambacho cha kwenda kutafuta porini kwa upande wao, uwezo huu wa kipekee ndio kinacho wapa hali ya hamasa vijana wa UBUNIFU ......
Posted by Bongo Film Data Base
on 5:23 AM.
Filed under
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
mh!
dah!!! kama kamwezi vile
dah!!! kama jana tu