TAFF; WASIO KUWA NA TAALUMA ZA SANAA NDIYO WANA HARIBU TASNIA YA FILAMU

Mwadada mlimbwende nambari moja mwaka fulani hapa nchini tanzania kwa jina Wema na ni mpenzi wa watu maarufu majina kapuni, natumai unawajua kama si kumfahamu hata mmoja ambaye ni my bro..... yeye na warembo wengine waliyowahi kushiriki ulimbwende a.k.a u-miss tanzania walliyopo kwenye sanaa hususani tasnia ya filamu wanaongoza kuharibu na kuichafua tasnia hii kutoka na kuyapamba magazeti na skendo zao chafu tu kila kunapokucha..mfano hapo katika picha ya  mwadada wema aliandikwa  kwenye gazeti fulani hapa town hivi, nanukuu"WEMA AANIKA MAKALIO LIVE  KWA MAMIA YA WATU KATIKA UTOAJI KAMPANI KWA MPENZI WAKE WA SASA ALIPOKUWA AKITUMBUIZA HUKO MJINI MORO" mwisho wakunukuu, hivyo ndivyo namna warembo wetu wallibeba hoja hii kwa undani kabisa katika suala la skendo mbaya mtaani. TAFF ya malizia kwa kusema wale wote wasio kuwa na taamuluma ama kupitia kwenye vikundi vya sanaa ndiyo wanatia doa taswira nzima ya sanaa hapa bongo na kwa mfumo huo kamwe hatutafika..

BONGO FLM DATA BASE inakuachia kijiswali, "NI KWA NAMNA GANI AMA NI KWA MIPAKA IPI MAISHA YA NJEE NA BINAFSI YA MASTAR TWA PASWA KUYATIZAMA NA KUYAGEZA?"

Posted by Bongo Film Data Base on 9:45 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for TAFF; WASIO KUWA NA TAALUMA ZA SANAA NDIYO WANA HARIBU TASNIA YA FILAMU

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign