MOJA YA VIJANA WA KALI

Jina;..Said Makukila

Umri;..19yrs


Kazi;...Actor/Director/story&script writer


Mchezo;. .Baragum, Tetemo, Gumzo, Funiko, Safari, (michezo ambayo                               ilirushwa na kituo cha televisheni TBC1 ndani ya awamu tofauti), 
  
Filamu;..
  amecheza filamu nne toka kampuni tofauti tofauti kubwa ambazo zilifanya vizuri sokoni kwa kazi zake kama  

                                           1.SILENT KILLER chini ya kampuni ya daniel basila film
                                          2.FAMILY DISASTER, 
                                          3. SECOND WIFE chini ya kampuni ya Rj company
                                          4.THE DEVELISH chini ya kampuni ya whatever production film..............
                                          
Quote;  kiukweli mie napenda kuuza sana wala si utani  ila bila ya mashaiki wangu na wa tasnia ya filamu kwa ujumla Said Mkukila si kitu kabisa, hivyo napenda kuwaambia mashabiki na wadau wengine kuwa nawathamini na kuwapenda sana. naomba mtuunge mkono kwa yetu mazuri ndungu zangu...asante.


Posted by Bongo Film Data Base on 11:39 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MOJA YA VIJANA WA KALI

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign